Tuesday, January 14, 2014

Nu track from mwasiti + SEREBUKA.

Ni baada ya kukaa kimya kwa muda kidogo sasa mwanadada MWASITI amechia ngoma yake mpya iitwayo SEREBUKA. iliyofanyika kwenye studio ya SURROUND SOUND chini ya producer Tuddy Thomas.

Ni harakati za mwanadada MWASITI kuuanza mwaka vizuri.

sikiliza  kisha dondosha comment zako.
DJ WHITE

No comments:

Post a Comment