Thursday, January 28, 2016

New Video : Abby Skils - Mama Koku

Katika game la Bongo fleva hakuna asiemjua Msanii Abby Skils.

Nimsanii ambaye alifanya vizuri katika kindi chanyuma na nyimbo zake Maria na mimi na wewe, Abby skils sasa ameachia video ya wimbo wake unaoitwa Mama Koku.


Tazama kisha acha maoni yako hapa..

No comments:

Post a Comment