Sunday, January 24, 2016

Waziri Nape awataka Wanii wa Tanznia kutoa kazi zenye ubola zaidi

Waziri Nape akiwaomba wasanii nchini kufanya kazi zenye ubora kwani zitaangaliwa na mataifa zaidi ya 11.




 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye, akionyesha umahili wake katika kupiga gitaa kwenye sherehe za uzinduzi wa Chaneli 294 CLOUDS TV itakayokuwa inapatikana kwenye king'amuzi cha DSTV hapo jana Escape one


No comments:

Post a Comment